Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Mi naiona Tanzania yenye madini mengi ila ni maskini ya kutupa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naiona Tanzania yenye madini mengi ila ni maskini ya kutupa....
Chief usibishe geita kumetamalaki umaskini wa kutisha. Fursa ni kama hakuna mpaka vijana wamejiajiri kuendesha baiskeli za abiria ili kujinusuru na umaskini wa kutisha.
Ukija kwenye miundo mbinu hali ni mbaya zaidi geita mpaka sasa wilaya zake zote hazijaunganishwa na barabara za lami ni vumbi tupu! Just imagine dhahabu zote zile lakini wilaya zake barabara za kiwango cha lami imekuwa anasa!
Nadhani wakazi wa asilia wa Geita ni masikini kuliko watu wote duniani wanaoishi maeneo ya machimbo. Angalia nyumba wanazoishi ni duni, ukiwa barabara kuu huwezi kuona ila ukiingia ndani walau nusu kilometa ndo utajionea makazi duni kabisa ya wananchi wa Geita.Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho.
Hio Geita ukisikia wakina Musukuma wanajinasibu unaweza dhania huko Geita mabomba yanatoa maziwa badala ya maji ila kumbe ni full umasikini.
Badala ya daily kusifia ujinga watawala wanapaswa ku adress swala la umasikini wa vipato kwa raia ambao wanazungukwa na utajiri mkubwa sana wa madini.
Yes Geita kuna Dhahabu ila kuna umasikini mkubwa sana na sijiu siku dhahabu inaisha itakuwaje kama kwa sasa kuna dhahabu na kuna umasikin vipi siku dhahabu inaisha?
Nzega ule Mgodi wa Resolute kule nzega si wamecha mashimo tupu na umasikini?
Ile North Mara nayo kikubwa wataacha mashimo na Umasikini wa Raia wa Tarime, make ukisikia Norty Mara kama hujafika huko utajua Raia wana maisha mazuri kumbe hakuna kitu.
Huwezi ona jitihada za watawala kutatua changamoto za umasikini wa vipato kwa raia badala yake wako busy na miradi ya vitu.
Raia wanabakia masikini ili CCM iwatumie kwenye siasa.
Hunufaisha wachacheUkimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho.
Hio Geita ukisikia wakina Musukuma wanajinasibu unaweza dhania huko Geita mabomba yanatoa maziwa badala ya maji ila kumbe ni full umasikini.
Badala ya daily kusifia ujinga watawala wanapaswa ku adress swala la umasikini wa vipato kwa raia ambao wanazungukwa na utajiri mkubwa sana wa madini.
Yes Geita kuna Dhahabu ila kuna umasikini mkubwa sana na sijiu siku dhahabu inaisha itakuwaje kama kwa sasa kuna dhahabu na kuna umasikin vipi siku dhahabu inaisha?
Nzega ule Mgodi wa Resolute kule nzega si wamecha mashimo tupu na umasikini?
Ile North Mara nayo kikubwa wataacha mashimo na Umasikini wa Raia wa Tarime, make ukisikia Norty Mara kama hujafika huko utajua Raia wana maisha mazuri kumbe hakuna kitu.
Huwezi ona jitihada za watawala kutatua changamoto za umasikini wa vipato kwa raia badala yake wako busy na miradi ya vitu.
Raia wanabakia masikini ili CCM iwatumie kwenye siasa.
Umaskini unaanza kichwani kabla ya kuhusishaaa material thingsHio Geita ukisikia wakina Musukuma wanajinasibu unaweza dhania huko Geita mabomba yanatoa maziwa badala ya maji ila kumbe ni full umasikini.
Ccm wanavyohusudu madini sasa utadhani waako marekani.Nadhani wakazi wa asilia wa Geita ni masikini kuliko watu wote duniani wanaoishi maeneo ya machimbo. Angalia nyumba wanazoishi ni duni, ukiwa barabara kuu huwezi kuona ila ukiingia ndani walau nusu kilometa ndo utajionea makazi duni kabisa ya wananchi wa Geita.
Acha uongo pesa hazijifichi sehemu zilipoHayo mengine ni ya serkali ila nikwambie tu katika vijana wenye fedha ni wa Geita!
Geita unasema ni masikini vijijini nakushangaa mbona nchi nzima hali inafanana na mbona Geita ina miji midogo mingi na yenye maendeleo kama Katoro,Kasamwa,Karumwa,Nyarugusu,Chato nk!
Acha uongo pesa hazijifichi sehemu zilipo
Nadhani wakazi wa asilia wa Geita ni masikini kuliko watu wote duniani wanaoishi maeneo ya machimbo. Angalia nyumba wanazoishi ni duni, ukiwa barabara kuu huwezi kuona ila ukiingia ndani walau nusu kilometa ndo utajionea makazi duni kabisa ya wananchi wa Geita.
Sio kweli, mbona chunya Kuna machimbo na wakazi wanaozunguka hayo maeneo ni maskini pia sana? Kuna hoja nyingine zaidi ya hii uliyoandikaNadhani wakazi wa asilia wa Geita ni masikini kuliko watu wote duniani wanaoishi maeneo ya machimbo. Angalia nyumba wanazoishi ni duni, ukiwa barabara kuu huwezi kuona ila ukiingia ndani walau nusu kilometa ndo utajionea makazi duni kabisa ya wananchi wa Geita.
Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho.