Hizo hela milioni 10 wapeni Yatima, timu zenu zote zitatolewa tu

Hizo hela milioni 10 wapeni Yatima, timu zenu zote zitatolewa tu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Yaani you take 10 mil on kuwafurahisha watu wanaolipwa vizuri na taasisi zao.

Mungu lazima awashushie angamizo, timu zenu zote hazifiki Popote we need to get rid this fallacy.

Ni watu wangapi wanaopambania uhai wao kwa kukosa matibabu eti ugawe mil10 kwa mpira huu wa kipuuzi
 
Acha upumbavu hela lazima zitumike, sasa hela ukipata excess ni lazima uwape yatima??
 
Kwahiyo MO anapotoa pesa zke Simba anaIharibu hizo pesa!
Mo anafanya Biashara Ni tofauti na Mama SSH anayemega Kodi zetu ambazo zinabidi kununua madawa hosptalini na kutaka kuleta siasa mpirani
 
Back
Top Bottom