DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Eeh lazima ndo maana mmefungwaacha upumbavu hela lazima zitumike, sasa hela ukipata excess ni lazima uwape yatima??
Achana na kufungwa....pesa imetengenezwa itumike. Kama mtu amepata pesa kihalali ni haki kutumia..... sio lazima kusaidia yatima, hawakudai chochoteEeh lazima ndo maana mmefungwa
Sasa our tax payers ndo unataka tutumie kuharibu kufurahisha watuachana na kufungwa....pesa imetengenezwa itumike. Kama mtu amepata pesa kihalali ni haki kutumia..... sio lazima kusaidia yatima, hawakudai chochote
Ndio timu zote Simba na Yanga hazivuki roboNaona wagonjwa wameanza kunena kwa lugha!
🤣🤣🤣🤣Ndio timu zote Simba na Yanga hazivuki robo
usiongozwe na dhiki mzee.... ila ni ngumu kukueleweshaSasa our tax payers ndo unataka tutumie kuharibu kufurahisha watu
Kwahiyo MO anapotoa pesa zake Simba anaharibu hizo pesa!Sasa our tax payers ndo unataka tutumie kuharibu kufurahisha watu
😊😊 Aaah tutakukumbuka kwa lipi? We need more charity as much as we canusiongozwe na dhiki mzee.... ila ni ngumu kukuelewesha
Mo anafanya Biashara Ni tofauti na Mama SSH anayemega Kodi zetu ambazo zinabidi kununua madawa hosptalini na kutaka kuleta siasa mpiraniKwahiyo MO anapotoa pesa zke Simba anaIharibu hizo pesa!