- Thread starter
- #21
wanaboa sana aseeNdio maana siku hizi mitaani wanadhani JF ni mtandao wa kutafuta wachumba, kutokana na upuuzi kama huu! Kutoka whistle blower hadi "makopakopa" Inasikitisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaboa sana aseeNdio maana siku hizi mitaani wanadhani JF ni mtandao wa kutafuta wachumba, kutokana na upuuzi kama huu! Kutoka whistle blower hadi "makopakopa" Inasikitisha!
sasa wanachukulia kila mtu wa mapenzikwa kuwa mm niñaye nitakuwakilisha
ndio moyo unaelea saizi aseeWashaziondoa umefurahi
saizi moyo unaelea kuona wamezitoaNaona mme wamwagia mapovu mpaka wamezitoa ..duh !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe padre MMU unatafuta nini??kwanza huu muda ni wa mapadre na masista kusali rozali lakini wewe upo humu..au wewe ndio Padre mcharo ee??