Hlssf yafunika 2012/2013 loan

Hlssf yafunika 2012/2013 loan

BONANJE

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
34
Reaction score
3
Jamaa nimewakubali,wametumia muda mchache kupanga majina na mikopo kwa wanaokizi vigezo ukilinganisha na heslb,Vile vile kumbe kuna kariba kadogo tu,kwa mliokosa heslb changamkeni muda bado.:lol:
 
Jamaa nimewakubali,wametumia muda mchache kupanga majina na mikopo kwa wanaokizi vigezo ukilinganisha na heslb,Vile vile kumbe kuna kariba kadogo tu,kwa mliokosa heslb changamkeni muda bado.:lol:

promo only!
 
Mbona naona kama wote waliopata ni continues students?
 
wapo wapya wengi tu angalia vizuri,Continues wachache sana
 
Wakuu tunaomba exactly link ya wanachuo waliopata mkopo kupitia hlssf.naona mnaisifia sana lakini mimi bado sijaona hayo majina.
 
Back
Top Bottom