Hlssf

Hlssf

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Vipi hawa jamaa mwaka huu hawatoi mikopo? Na Je, wale wa mwaka jana walipata au ndiyo walitapeliwa?
 
gusa moto uone, kuna threads nyingi sana za ushuhuda juu wa hao watu, tafuta uchek
 
usijalibu ndugu alichukua pesa za application wakasepa
 
hawa jamaa ni matapel coz hata ukifatilia pale ofisini kwao hawapo na hawajulikani wamehamia wapi,but itafahamika 2....na wizara iliyo husika kuwasajiri itatakiwa kutoa majibu sahihi juu ya swala hili,
 
Tena hawafai kuigwa inabd kuwaepuka na wala waskudanganye waizi 2 hawana jipya!
 
Back
Top Bottom