(HOAX) Ne-Yo: Caityln Jenne gave me the strength to admit I am gay

(HOAX) Ne-Yo: Caityln Jenne gave me the strength to admit I am gay

Mbona mnachukulia seriously wakat ishu yenyew hta haijawa confirmed????? Au kidhungu shdaaaa, wamesema kabisa "please note that, articles written on this site are for entertainment and satirical purposes only"

Hata mimi nimeshangaa baada ya kumaliza kusoma hiyo article comments nilizoziona...
Mhhhhhh!
 
Hata mimi nimeshangaa baada ya kumaliza kusoma hiyo article comments nilizoziona...
Mhhhhhh!

Hahahhh unacheza na mbogo nifa???? Ye kaz yake kucomment negative tu, shigongo kashaharbu watu!!
 
Hii sasa ishakuwa hatari na inatuweka wazazi kwenye wakati mgumu sana...Ukiwa na mtoto wa kiume anaweza kuja kuolewa kama tu watoto wengine wa kike...My God.!

Unaelewa maana ya HOAX? Umesoma article yote? Watakucheka watu....
 
Back
Top Bottom