Hodi, am new member

Hodi, am new member

Karibu sana hapa ndani, zingatia sheria na taratibu zote ili uishi kwa amani, Tunatarajia kupata mawazo mazuri kutoka kwako
 
Hii lugha siielewi, you say coming?
 
hodi am new member, please i need your support


Unapokuja hapa hautakiwi kuongea kwa sauti kubwa namna hii....wewe ni mwanamke mrembo, njoo kwangu hapa PM nikupe baraka kwanza kisha tujadiliane namna gani nikuruhusu kujiunga na JF.
 
Weka picha yako tafadhari,ili niweze kukuthibitisha.
 
Back
Top Bottom