Hahaha ila kuna nini eti
Shunie knife!Haya wazee wa fursa kazi kwenu mshindwe nyie tu
Dah hivi anapata faida gani sasa kujifanya ke jamani
Nipo apa mjeda [emoji847]Shunie knife!
Shem na ww mambo mengine potezeaga jaman hupitwi na sketi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!hapo roho najua inakurukaaa[emoji56][emoji56]!
Shem na ww mambo mengine potezeaga jaman hupitwi na sketi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!hapo roho najua inakurukaaa[emoji56][emoji56]!
DiswaaaaaNipo apa mjeda [emoji847]
Hisia zenu tu jamani,dunia imebadilika enzi za wanawake kuonekana hawana lolote kwenye jamii zimepitwa na wakati,nimewahi kwenda Canada maisha ya pale huwezi ukajua nani mwanamke na yupi mwanaume maana wote wanafanya mambo yanayofanana hata kama ni kwa social media,tunataka na wanawake wa Afrika msisubiri wanaume tu kwenye matukio,tunataka tubalance dunia,kwa hiyo usishangae ninayoyafanyaDah hivi anapata faida gani sasa kujifanya ke jamani
Au ndio kutuonea wivu sisi [emoji134]
Hatukudis mpendwa wetu we fanya mambo yako kwani unaazima ya mtu?
Msisubiri wanaume tu,na wanawake tunawezaIngekuwa kule Twitter,tungesema wewe ni LIPARODY.
Asante kwa swali zuri kakaKwan kuna mtu kathibitisha huyu mtoa mada ni mwanaume...?