Hodi Arusha,naomba mwenyeji pm

Hodi Arusha,naomba mwenyeji pm

Unakuja kufanya nini kwanza nijipime kama nina interest na unalojia


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
akirudi mwambieni mwenyeji wake nipo hapa impala namsubiri!! kama kuna mwingine anataka mwenyeji anichek tu ijumaa
 
Dah hivi anapata faida gani sasa kujifanya ke jamani

Au ndio kutuonea wivu sisi [emoji134]
Hisia zenu tu jamani,dunia imebadilika enzi za wanawake kuonekana hawana lolote kwenye jamii zimepitwa na wakati,nimewahi kwenda Canada maisha ya pale huwezi ukajua nani mwanamke na yupi mwanaume maana wote wanafanya mambo yanayofanana hata kama ni kwa social media,tunataka na wanawake wa Afrika msisubiri wanaume tu kwenye matukio,tunataka tubalance dunia,kwa hiyo usishangae ninayoyafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom