Umeniogopesha sasaJiandae kulishwa ngusu mixer Mwafya itahusika mpk wana kipururu kiishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ujiandae kunipeleka mpaka Tarakea kuna familia ya Mbwambo ni mabest zangu ingawa sijawahi fika hukoBarid kama london, karibu kaskazini bibie hutojutia ,fanya upitie hapa Moshi tule mtori na mbege
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, we tuwakilishe tu mamaMsisubiri wanaume waje na vituko vyao na huku na sisi tunataka haki sawa lazima tuwe level moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi hayo sasa,mungu atanilipiaHaya wanyama pori wa chughastan jangiri limetimba pande zenu
Umefika hapo tarakea bila wasiwasi kabisaWewe ujiandae kunipeleka mpaka Tarakea kuna familia ya Mbwambo ni mabest zangu ingawa sijawahi fika huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtego, nenda ukanase nyavuni.Shemale au bwabwa????
Au atanasa yeye ajute kunifahamu...Huu mtego, nenda ukanase nyavuni.
Nadhani umenielewa .
NimoooBabu upooo