Hodi Arusha,naomba mwenyeji pm

Hodi Arusha,naomba mwenyeji pm

Tarime jamani. Soon nakua huko. Sema wakurya wanatoa macho jamani wakiona wageni. Hadi mwenyeji akaogopa kunipeleka club eti watanisumbua mgeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzigua90, Umenikumbusha aisee,nilipita kijiji kimoja wakatoka majumbani mwao kuja kuniangalia suruali nilivyovaa mpaka mwenyeji wangu akaogopa nikasema kwa kuwa hawa ni watani wangu ngoja niwaache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya wanyama pori wa chughastan jangiri limetimba pande zenu
 
Wazungu wamerahisisha sana mambo ila bado hatuyatumii vema.

cutelove kama huna mission maalum kwenye hizi safari zako nakushauri kwenye Instagram yako nenda kafollow #InArusha hiyo ndiyo njia pekee ya kupata yote unayoyataka bila kugandana na strangers mwisho wa siku unakuja kupostiwa picha zako humu bila ridhaa yako.

Hizi hashtags dunia nzima ndiyo zinatumiwa hasa na wageni wanapotembelea sehemu bila mwenyeji.

Hizo hashtags sio urembo jamani kazi yake ndiyo hiyo ya kujua wapi kunahappen kwenye jiji husika utakapoenda hasa ukiwa huna mwenyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom