Hodi Bandugu

Hodi Bandugu

Nyangwada

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
143
Reaction score
183
Kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kushukuru kuungana na familia ya jamii forum. Najua itakua sehemu salama kwangu kujifunza mambo mbalimbali kupitia michango ya wadau, kuondoa msongo wa mawazo n.k Ahsanten nawapenda woooote.
 
Karibu ila kuna ka tabia ka wanaume kujifanya wanawake humu. ......twambie jinsia yako kabla ya kuendelea
 
Back
Top Bottom