Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
Washakupokea au bado upo maguful terminal,sijui nimechelewa wapi!!yani hapa nipo kwenye hii gari yangu ya million 250 na scroll kwa simu yangu hii ya million 5 ndo naona uzi wako daah
 
Jamani M si nilisahau? Afu kwani wee una gari? Maana hujawahi niambia. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚Chuma ya kuazima isingekosekana. Si unajua watoto bila kufake life hupati.
 
Ndugu nilikutag sehemu jana hujatokea eti. ☹
Niliona notification ndugu yangu ila kutokana na umuhimu wa ule uzi mtu akinitag najua Kuna jambo jipya hivyo ikanibidi nisiuendee nikiwa na pilikapilika nyingi nikawa nauvutia usiku nikacheki nishushe nondoz.
 
Niliona notification ndugu yangu ila kutokana na umuhimu wa ule uzi mtu akinitag najua Kuna jambo jipya hivyo ikanibidi nisiuendee nikiwa na pilikapilika nyingi nikawa nauvutia usiku nikacheki nishushe nondoz.
Ooh! Sawa ndugu yangu. 🀝
 
Sio kichaka, ni pori kubwaa, km sio Hifadhi kabisaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Amazon 😹😹😹
Ila JF siku hizi imepoa tumekua uduguu 🀣

Nimekumbuka enzi za watu kugombaniana mabwana nacheeka sana!! 🀣
Na sie tuna viranga kushadadia ugomvi hautuhusu khaaaa!!

Extrovert cazee mbaya sana wewe, ulikua unanipangia mpango wa kunila mwenyewe sijui 😹😹🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…