Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hatimae umetokea bro, pole na kazi mgeni hajambo.....

Kuna watu walikua wanakusema eti mgeni umempokelea salary advance, mwezi huu utasumbua sana kwenye ule uzi wa mshahara.
🤣🤣🤣 sasa tarehe 15 mi napata wapi hela,, nimejikopesha salary advance yaani July itakua ngumu sana
 
😂😂😂😂😂
Uduguu tumekua kwa kweliii, yaan ilikua full mtifuanoo, ila JF imepitia mengii.

Namic zile heka heka haswaaa. 😂😂😂😂😂
 
Utaliwa tu jiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…