Wee waache, wakutane na ingizo jipya mjini, hata Enema haijui.πΉπΉπΉ Mbuzi kafia kwa muuza supu..!!
Ngoja wajimix kwa wizo π€£
Figo zake inaonyesha ziko safi sana huyu - Ngoja nipige simu india kuwaandalia delivery.vijana msituangushe aise π₯΅View attachment 3370365
πΉπΉπ€£ Kwahiyo huogopi kutekwa?Si kweli
πΉπΉπΉWee waache, wakutane na ingizo jipya mjini, hata Enema haijui.
ππππππ
Hahaha πHapa nishauza figo βπΏ
Karibu .......Asant
Kukublend mahi wanguβ¦ πΉπΉMtoto wa kike unaniteka unanipeleka wapi sasa