Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula