Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
ThanksChako Ni Chako
Chef Asili
Mwambao
Capital
Waswanu
Royal Village
Kwa Mama Abas
Area A Kwa Mama Sabu
Simba Hotel
Thank
nyama ya punda
Ahsante kwa kunifanyia tangazo la biashara bure.ShukranChako Ni Chako
Chef Asili
Mwambao
Capital
Waswanu
Royal Village
Kwa Mama Abas
Area A Kwa Mama Sabu
Simba Hotel
Tafuta mgogo mwenyeji hadi lilaji cha choya atakuelekeza kinapopatikana pqmoja na mashamba ya zabibu.Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula
Nitaenda kutembea huko wiki ijayo, fafanua hapo NBc na Fremu Mpya MkuuBank NBC
Chako Ni Chako
Uwanja Wa Jamhuri Fremu Mpya
NBCNitaenda kutembea huko wiki ijayo, fafanua hapo NBc na Fremu Mpya Mkuu
Mkuu kesho mapema usiache kunitembelea kwenye banda langu nnapouziaga majeneza japo uniungishe kakaHabarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula
Tutasahau sasa 😔😔Jumamosi tukutane 📍Msalato
Kwa msiba upi, thubutu!!Mkuu kesho mapema usiache kunitembelea kwenye banda langu nnapouziaga majeneza japo uniungishe kaka