Hodi hapa

Hodi hapa

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Ninawasarimu wote humu ndani wakubwa shikamoni na wadongo pia shikamoni. Kwa mda mlefu nilikuwa natumiya facebook nimewona niache na kuja hum jamii forum naomben mnikalibishe asate sana.
 
Karibu dogo uku nikwa great thinkers sio kwa watoto kama uko uliko toka....[emoji41]ut welcome
tapatalk_1541774253379.jpeg
 
Asateni sana nitakuwa mwema humu rengo langu ni kusoma mambo mbarimbari na kujifuza vitu vipiya.
 
Niriambiwa kama hautonkani watu basi hutaishi tu vizwuri na watu umu?
 
Back
Top Bottom