Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mkuluNenda mahali panaitwa kwa muromboo utapata nyama choma safi kabisa
Chini ya mti Ken GardenThanks mkulu
Usirudie kupaita kwa mrombo changanyikeni[emoji853]Tembo club mbuzi classic
Triple A nyama classic
Moshono lounge kwa Mr pork - kitimoto tamu + Njooy 'Sakina
8 8 point Njiro - vyuku amazing bei chee
Orlando garden - kuku kitunguu amazing
Washington + Ken garden - chini ya mti (makao mapya/ stend ndogo - kuku na nyama
Changanyikeni - Morombo
Bora umemwambia ukweliUkiambiwa kwa Morombo usiende.
Kule ni kuchafuchafu.
Tafuta sehemu nyingine palipokaa vizuri.
Hata vijiwe vya njiro na sakina afadhali.
Ila kwa morombo hapafai.
Ukiona wanavyopasifia utadhani ni kijiwe amazing.Bora umemwambia ukweli
Nilikuwa naogopa kupaita pa'hovyo... Me kule jamani hapana bora nile ugali tembele nilale nyumbani.