Hodi Hodi C.C Nimerudiii Tenaa...!! >>Donn<<

kwakuwa ushakamilisha majukumu uje unione cashier hapa tutengeneze balance sheet sawa babaaa

Teh teh teh.... Kukuoa nakubali ila hiyo kazi ya ucashier ndo utata wangu... Chop my money i chop your head
 
inashangaza tena inanihusunisha sana tena sana wewe ulisema uko ban mpaka alihamisi iweje leo wakutoe mapema kiasi hichi ndugu au umetoa hongo nini maana siku hizi bila ....................... hufanikiwi kabisa nashangaa ngoja nimwambie Filipo na Baba V huyu mtu kwanini mmemutoa mapema hii wakati kesi yake ni kubw asana na haina msamaha kabisa mpaka msamaha wa Raisi uje
 
Last edited by a moderator:
mi nilikuwa na kifungo huru.... Maisha ya jela magumu nimeamua kurudi aise ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Mbona umerudi kwa sauti ya kiupole hivyo? Kama vile wkt unaondoka uliondoka baada ya kufumaniwa unabwenga mali za wenyewe!
 
Teh teh teh.... Kukuoa
nakubali ila hiyo kazi ya ucashier ndo utata wangu... Chop my money i
chop your head

hahahahahahaha
dhuuuu ama kweli pesa si mchezo hadi umeona ni bora unioe ila sio kunipa pesa zako
 
hahahahahahaha
dhuuuu ama kweli pesa si mchezo hadi umeona ni bora unioe ila sio kunipa pesa zako

Ila nikisha kuoa pesa utakuwa unaipata..... Ila bila hivyo..... Buku 2 tu ya nauli inatosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…