Hodi Hodi Hodi Hodi!mpaka chumbani

Hodi Hodi Hodi Hodi!mpaka chumbani

MAMAYAKE B

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
17
Reaction score
7
Hodi hodi wana MMU,CC,JF DR,UJASILIMALI,nimemfuata mume wangu sababu kila siku anachelewa kulala,kisa JF,kuanzia leo namfuata nyuma nyuma
*WasiWasi ndo Akili*
 
Hodi hodi wana MMU,CC,JF DR,UJASILIMALI,nimemfuata mume wangu sababu kila siku anachelewa kulala,kisa JF,kuanzia leo namfuata nyuma nyuma
*WasiWasi ndo Akili*
Karibu sana jamvini mama. Mume wako anatumia jina gani humu hahahahaah!
 
Karibu karibu,barazan,sebureni hadi chumbani,JF ni ya kila mtu jisikie huru kabisa,utapata kila kitu,ujasiriamali,afya,mahusiano,kazi,siasa,utani,biashara,JLW,teknolojia,Chit chat,mengi mengi,ila fuata sheria za kila jukwaa mwishowe utakuwa imara,
Karibu karibu,humu ndani hatutaki lugha za kifacebook.............!
"Vox popoli vox dei"
 
Hodi hodi wana MMU,CC,JF DR,UJASILIMALI,nimemfuata mume wangu sababu kila siku anachelewa kulala,kisa JF,kuanzia leo namfuata nyuma nyuma
*WasiWasi ndo Akili*

Heeheeheee wasiwasi ndio akili mama. Karibu JF.
 
Hatutaki lugha za kifacebook humu mamayake B
 
Back
Top Bottom