Hodi hodi hodi humu ndani.

Hodi hodi hodi humu ndani.

Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!!
umekilipia?

lakini karibu sana sis tena kwa 🙂
 
Karibu mama ila mvinyo asubuhi yote hii? Huyo mchumba mtawezana kweli? Halafu mama hijabu na mvinyo wapi na wapi? Usijali sana mama unakaribishwa sana tu ndo maisha yetu lakini ungeomba badae kidogo may be saa sita au saba!
Mie mwanamke wa kislam lakini sivai hijab mie, hijab ni utamaduni wa kiarabu.
Kwani waislamu hatunywi kilevi? Anyway kilevi hakina dini.
 
Back
Top Bottom