Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Feb 26, 2010 #21 Sista Sophia said: Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!! Click to expand... umekilipia? lakini karibu sana sis tena kwa 🙂
Sista Sophia said: Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!! Click to expand... umekilipia? lakini karibu sana sis tena kwa 🙂
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,741 Reaction score 272 Feb 26, 2010 #22 anyisile obheli said: isagha mama karibu mama welcome mama Click to expand... willkommen!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Feb 26, 2010 #23 Chrispin said: Kwani kakuambia yeye ni she? Click to expand... Kuna wanaume wengine huwa wanaolewa...........
Chrispin said: Kwani kakuambia yeye ni she? Click to expand... Kuna wanaume wengine huwa wanaolewa...........
S Sista Sophia Member Joined Feb 6, 2010 Posts 50 Reaction score 26 Feb 26, 2010 Thread starter #24 genekai said: Karibu mama ila mvinyo asubuhi yote hii? Huyo mchumba mtawezana kweli? Halafu mama hijabu na mvinyo wapi na wapi? Usijali sana mama unakaribishwa sana tu ndo maisha yetu lakini ungeomba badae kidogo may be saa sita au saba! Click to expand... Mie mwanamke wa kislam lakini sivai hijab mie, hijab ni utamaduni wa kiarabu. Kwani waislamu hatunywi kilevi? Anyway kilevi hakina dini.
genekai said: Karibu mama ila mvinyo asubuhi yote hii? Huyo mchumba mtawezana kweli? Halafu mama hijabu na mvinyo wapi na wapi? Usijali sana mama unakaribishwa sana tu ndo maisha yetu lakini ungeomba badae kidogo may be saa sita au saba! Click to expand... Mie mwanamke wa kislam lakini sivai hijab mie, hijab ni utamaduni wa kiarabu. Kwani waislamu hatunywi kilevi? Anyway kilevi hakina dini.
S Sista Sophia Member Joined Feb 6, 2010 Posts 50 Reaction score 26 Feb 26, 2010 Thread starter #25 Ngalikihinja said: Umeolewa.??? Click to expand... I'm single im still looking.