Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
- Thread starter
- #21
Mimi mbona sina ustaraabu bali ni UJINGA MTUPUKaribu sana ila usilete ujinga, wote humu ni wastarabu watupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mbona sina ustaraabu bali ni UJINGA MTUPUKaribu sana ila usilete ujinga, wote humu ni wastarabu watupu
Mimi zote zangu mkuu[emoji1] [emoji1]
Kwa hiyo we ujinga mtupu hutaki wastaarabu sio? OK, tumekuelewaHabari...
Ujinga mtupu nimeingia hapa...
Usiniulize jinsia zote zangu....
Mimi ni mgeni kabisa...
Kama ww mstaraabu tafadhali usilete kwangu tutagombana...
Nikaribisheni jamani...
Jamani mbona hamniamini mimi nilikuwaga nasoma thread leo ndo nimejiunga
Hauwezi kujua dunia imebadilka sasaUmrshaleta mada za ushauri, umekuwa kungwi ukiwa na miaka 13, hongera.
Sasa una ya nini na nini?Ipi unahitaji
Ya serious...ya mapenzi...ya masomo...ya jinsia zote ya jinsia yangu...hadi rahaSasa una ya nini na nini?
Ya serious ni ipi?Ya serious...ya mapenzi...ya masomo...ya jinsia zote ya jinsia yangu...hadi raha
Shoga huyu haiwezekani uwe na jinsia zoteHabari...
Ujinga mtupu nimeingia hapa...
Usiniulize jinsia zote zangu....
Mimi ni mgeni kabisa...
Kama ww mstaraabu tafadhali usilete kwangu tutagombana...
Nikaribisheni jamani...
SHOGA BABA YAKO....Shoga huyu haiwezekani uwe na jinsia zote
SIRI YANGU ILA NI FAMOUS SANA...Ya serious ni ipi?