Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Angalia usije hamishwa gesti ukapelekwa hm, ukaogeshwa na chicha la nazi huku umekalishwa kwenye kigoda chenye nakshi na maji yametiwa iliki na jasmini...!

Wallah huchomoki.. utaniambia
 
Angalia usije hamishwa gesti ukapelekwa hm, ukaogeshwa na chicha la nazi huku umekalishwa kwenye kigoda chenye nakshi na maji yametiwa iliki na jasmini...!

Wallah huchomoki.. utaniambia

Hizi huduma ndio zinatufaa watu kama sisi,nipo tanga kimapumziko
 
Hahahaaaaa haya bwana ila naona bado hujazipata la sivyo usingekuwa jamvini muda huu

Mkuu nimeingia usiku nimefikia hoteli fulan...pemben yangu nina mtoto wa kibondei chotara fulani hv...
 
Last edited by a moderator:
M/kiti naona upo kazini! Arabela haruhusiwi kukutana na huyu jamaa kwa sababu za kiusalama!

Mbona sina hata mpango wa kuonana na arabela nipö na mtoto mwingine wa kibondei chotara aisee ....
 
Last edited by a moderator:
Angalia usipotezwe..ndo umeamua kumfwata Arabela?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…