Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi wewe uliahidi nini? kama ninayo nikupatie upeleke, ila Madame B aliahidi atawapa nanilii so itabidi apeleke mwenyewe
Sio vingi ni bata mzee,miguu ya mende na kuku aliyenaniliwa akiwa kifaranga
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa umbea huu, hata sikuwa na taarifa, desemba mje tena Pangani ili viviana akae katikati yangu na Filipo, tukifika chumvini nikapige picha chumvi (kibao) na simu ya viviana.
nb: marejesho + Filipo = ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…