Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Aiseee umejitoa ufahamu[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyeji mpooooo. Habari zenu wana jukwaa,naomba mnikaribishe na mnielekeze,mnisaidie na kunikosoa pale panapohitajika. Hodi tena kwa mara nyingine.View attachment 793622
mara y 1 najiunga JF nliambiwa ntaje ID yang ya zamanijina la mkuu umelijulia wapi?? acha ujinga hebu tupe ID ya zamani
Siku hiz watu wanajiapiza hovyo hovyo Tu,nadhani watakuwa hawajui uzito wa jambo hiliKiapo kibaya Lubede. Usipende kuapia vitu vya kijinga kama hivyo