Habari zenu wana jf,
Nimefurah sana kuingia katika jamii hii na naomba mapokez yenu na msaada wenu.
Naamini kuwa mafanikio yangu yapo mikononi mwenu,mungu awalinde wote..
Amina
Nawashukuru sana kwa ukarimu wenu wana jf...
Mungu awalinde na awajaalie maisha marefu yenye furaha.
Nawapenda sana wote.
Ahsanteni na mfaham nimeingia humu kwa ajili yenu kwhiyo naomba msaada wenu na ushirikiano wenu zaidi na zaidi.