Hodi hodi hodi

Hodi hodi hodi

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Habari zenu wana jf,
Nimefurah sana kuingia katika jamii hii na naomba mapokez yenu na msaada wenu.
Naamini kuwa mafanikio yangu yapo mikononi mwenu,mungu awalinde wote..
Amina
 
Karibu. Mwone Rejao akupe siri ya kufanikiwa jf.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana jamvini, huyo aliyekufungulia mlango ndio bibi wa humu jf anaitwa Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru sana kwa ukarimu wenu wana jf...
Mungu awalinde na awajaalie maisha marefu yenye furaha.
Nawapenda sana wote.
Ahsanteni na mfaham nimeingia humu kwa ajili yenu kwhiyo naomba msaada wenu na ushirikiano wenu zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom