Nimefurahi Leo kuwa member rasmi was jamii forums, kama miezi miwili na ushei nilikuwa visitor tu. Kwa kweli nimefurahishwa na namna mnavyoendesha mijadala, nadhani ntapata mengi kutka kwenu, na mm ntatoa nliyinayo
karibu sana n...humu asilimia kubwa wana maisha mazuri(project za maana ,gari nyumba n.k), pia kuna matapeli wengi tu , wastaarabu pia wapo ! jf ina kila utakacho! kama ke jiandae kupata pm za kutosha, !!