Hodi hodi humu, mgeni naingia

Hodi hodi humu, mgeni naingia

Iqram Zuberi

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
8
Reaction score
0
Nimefurahi Leo kuwa member rasmi was jamii forums, kama miezi miwili na ushei nilikuwa visitor tu. Kwa kweli nimefurahishwa na namna mnavyoendesha mijadala, nadhani ntapata mengi kutka kwenu, na mm ntatoa nliyinayo
 
Jiandae kukutana na wajuaji wasokuwa wajuvi. Karibu sana
 
karibu sana n...humu asilimia kubwa wana maisha mazuri(project za maana ,gari nyumba n.k), pia kuna matapeli wengi tu , wastaarabu pia wapo ! jf ina kila utakacho! kama ke jiandae kupata pm za kutosha, !!
 
Karibu, humu siyo kama huko kwingine,panahitajika uwe mfikiriaji mkuu ili uweze kuleta hoja ya maana
 
Usishangae kukaribishwa na BAADHI kukuita MKUU...

Hii ni HULKA ndani ya JF...

Leta MADA yako....ndio utawajua watu wa humu (JF) walivyo VURUGWA...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wala SIKUTISHI..
 
Karibu sana Mkuu, Ndani upakaribie
Jifunze vya kunukuu, maishani ikufae
Usijifanye kichuguu, jamaa wakufukue
Karbu sana Mkuu, tujifunze kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom