Hodi Hodi Humu Ndani Jamani!

Hodi Hodi Humu Ndani Jamani!

Panya Road

New Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wadau? Jina langu kama linavyojieleza Panya Road...sina masihara. Naomba mnikaribishe humu ndani mi mgeni wenu jamani. Tafadhali mnionyeshe sebule,choo,jiko,chumba cha kulala hata stoo ikibidi.
Ahsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana. Zunguka vyumba vyoote sio stoo huko usifike banaa...
 
sidhani kama wewe ni mgeni maana ushajua hadi jinsi ya kumention jina
 
Back
Top Bottom