Panya Road
New Member
- Jan 5, 2015
- 1
- 0
Habari zenu wadau? Jina langu kama linavyojieleza Panya Road...sina masihara. Naomba mnikaribishe humu ndani mi mgeni wenu jamani. Tafadhali mnionyeshe sebule,choo,jiko,chumba cha kulala hata stoo ikibidi.
Ahsanteni.
Ahsanteni.
Last edited by a moderator: