sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 722
- 885
Asante sana.karibu
Karibu na mimi pia ni mgeni mwenyejiNdungu wana jf. Mu hali gani siku ya leo?
Kwa muda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali za humu.
Kwa hiyo leo nimeamua niwe member kamili natumai mtanipokea.
Asante.Karibu na mimi pia ni mgeni mwenyeji
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Poa mjukuu, naona bado unanyonya.Asante sana babu.