Hodi hodi humu ndani.

Hodi hodi humu ndani.

sibbonnobo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
722
Reaction score
885
Ndungu wana jf. Mu hali gani siku ya leo?
Kwa muda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali za humu.
Kwa hiyo leo nimeamua niwe member kamili natumai mtanipokea.
 
Back
Top Bottom