Hodi hodi humu ndani......

Hodi hodi humu ndani......

MaMals

Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
46
Reaction score
7
Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na kupokea mawazo ya masuala mbalimbali yahusuyo nchi kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa. AHSANTENI SANA:amen:
 
Waswahili husema UJINGA SAA YA KWENDA SIYO SAA YA KURUDI

Hodi wana wa JF
 
Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na kupokea mawazo ya masuala mbalimbali yahusuyo nchi kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa. AHSANTENI SANA:amen:

Karibu JF.
 
Haya pita ndani.
 
Back
Top Bottom