MaMals
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 7
Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na kupokea mawazo ya masuala mbalimbali yahusuyo nchi kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa. AHSANTENI SANA:amen: