Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na kupokea mawazo ya masuala mbalimbali yahusuyo nchi kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa. AHSANTENI SANA:amen:
Hahahaah! Si unajua id nyingine zinafanana na tabia za wahusika...! Inabidi tumtahadharishe mapema ban zisimhusu.Heeheheee umeua Mkuu.
Haya pita ndani.Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na kupokea mawazo ya masuala mbalimbali yahusuyo nchi kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa. AHSANTENI SANA:amen:
Hahahaah! Si unajua id nyingine zinafanana na tabia za wahusika...! Inabidi tumtahadharishe mapema ban zisimhusu.
Kweli Mkuu.[/QUO
Binadamu ni kama kitabu, huwezi kumuelewa mpaka ufungue ganda la kitabu ndiyo uweze kumuelewa