Hodi hodi humu ndani

Hodi hodi humu ndani

Joined
Dec 15, 2014
Posts
29
Reaction score
19
Mimi ni mgeni humu ndani jamani nielekezeni pa kukaa nisijepitiliza hadi chumbani kwa baba mwenye nyumba hahahaha
 
Karibu ila kaa hukohuko mlangoni panakufaa!
 
Nani kakuita unaji hekesha nn umekuja na nyege nn
 
Humu ndani hawaingii bure na ni marufuku kuja na shida binafsi.
 
Back
Top Bottom