Za leo wandugu, nimefurahi sana kupata hii site baada yakudokezwa mamboz yake na lafiki yangu kipenzi. Natumaini tutashirikiana kwa kila jambo.
Pengine kwa kuanza ningependa kufahamu what are vampires, ni kweli hivi vitu vina exist hapa kwetu bongo au vipo nchi za wenzetu zaidi. Je kwa lugha ya kwetu ndo unaweza kusema popobawa ama! Asanteni kwa kunielimisha zaidi.
Mrs. bond
Mrs.Bond
Karibu sana katika JF.
Habari za leo tunamshukuru Mwenyezi Mungu.
Habari za kwako na ulipo?
Nasi tumefurahi sana kubahatika kupata hii Site ya JF.Hongera sana kuwa mmoja wa mwanacham wake.Na shukrani iwe kwa rafiki yako kipenzi kwa kudokeza kwenye JF.
Naam matumaini yako ni yenye nguvu bila shaka tupo pamoja na tutashirikiana katika kila jambo la kheri yatakayompedeza Mwenyezi Mungu. na kwa sharti hii ushirikiano iwe wa ustaarabu tupu.
Nasi tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kukuelimisha kupitia sisi katika JF.
Ni matarajio yetu kuwa utanufaika zaidi na zaidi kupitia wanachama wa JF.
SASA TUNAINGIA KWENYE MASWALI ZAKO MIMI MCHANGO WANGU NI
SWALI YAKO YA KWANZ AKUHUSU VAMPIRES.ILI UPATE MAJIBU SAHIHI
KABLA SIJA FAFANULIA KUHUSU VAMPIRES NAOMBA UJIBU SWALI YANGU
MAJI ULIYOMWAGIKA INAWEZA KUZOLEKA KAMA ILIVYO KABLA YA KUMWAGIKA?
JIBU HII SWALI ILI NIWEZE KUFAFANULIA KUHUSU VAMPIRES KWA UFUPI.
NA SWALI YAKO KUHUSU POPOBAWA MIMI NAONA HII KISA CHA POPOBAWA NI UTAPELI YA WAGANGA WALIYOBUNI KURUBINI WATU ILI WENGI WAKIMBILIE MLANGONI MWAO KUOMBA MSAADA WAO NAO WAPATE MIPESA ZA KULA NYAMA NA MIKATE.
NATARAJI NIMEWEZA KUNUFAISHA NA MCHANGO WANGU JAPO KIDOGO.
SASA NASUBIRI KUHUSU JIBU LA SWALI YANGU.
KILA LA KHERI NA FANAKA IWE KWAKO