everythinggoes
Member
- Dec 27, 2012
- 13
- 2
hodi humu wajameni, ukumbini naingia
kunilaki kazaneni, hoja niweze changia
nafasi pia nipeni, maswali kuulizia
pengine tena sioni, humu kufananishia.
mara baada ya shairi hilo la utambulisho, naomba kuingia ndani. na leo ntaanza na jf dokta nina swali langu lataka ufafanuzi.
Asanteni