Hodi! hodi! JamiiForums

Binti zanda

Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
39
Reaction score
38
A alaykum kwa waislam wote humu, wakristo tumsifu Yesu kristo,

Mimi ni mgeni humu JamiiForums naombeni kukaribishwa kwa bashasha zote.

Nimevutiwa sana na changamoto za humu mpaka zimenicomvice nijiunge humu.

Nimepiga hodi tu msinichambe maana kwa iman ya kabila yetu unapoingia sehemu na kuwakuta wenyeji lazima upige hodi na kusalimia ndio uendelee na mambo mengine.

Ahsanteni
 
Karibu naona umekuja kwa bas ya mwendo kasi
 
Mods njoo mfute amepiga hodi Mara ya pili
 
[QUOTE="carbamazepine, post: 23390634, member: mambo ya kung'atana masikio mm hapana kwakweli hospital gharama usawa huu wa magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…