Binti zanda
Member
- Sep 11, 2017
- 39
- 38
A alaykum kwa waislam wote humu, wakristo tumsifu Yesu kristo,
Mimi ni mgeni humu JamiiForums naombeni kukaribishwa kwa bashasha zote.
Nimevutiwa sana na changamoto za humu mpaka zimenicomvice nijiunge humu.
Nimepiga hodi tu msinichambe maana kwa iman ya kabila yetu unapoingia sehemu na kuwakuta wenyeji lazima upige hodi na kusalimia ndio uendelee na mambo mengine.
Ahsanteni