HODI HODI JAMVINI,wakala NDO NAINGIA

HODI HODI JAMVINI,wakala NDO NAINGIA

Wakala

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
57
Reaction score
66
Habari za muda huu mabibi na mabwana,natumai wote ni wazima tena wenye afya tele,
Napenda kuchukua nafasi kumpongeza Mwanzilishi/Waanzilishi, ma cordinador na wana jamvini wote kwa jukwaa hl kuliendeleza na kulifanya liwe chachu kwa serikali, viongoz na wanajamvini kujifunza na kujrekebisha kwa namna moja ama nyingine.
NDUGU WANA JAMVINI NAOMBEN MNIPOKEE KAMA KIJANA WENU MWENYE LENGO LA KUJIFUNZA NA KUELIMISHA Wengne kwa namna moja ama nyngne.

Asanten sana Great thinker ,naomben mnikaribishe kwa kunipa
>muongozo
>sheria na
>utaratibu maana kla nyumba ina sheria zake ilizojiwekea!
 
Dear fellow Members of JamiiForum, I'm taking this particular opportunity to say HODI HODI JAMVINI for the first occasion. Thank you all. Thank very much. Let us keep in touch.
 
your highly welcome
 
Karibu sana JF Wakala. Subiri Mkuu Katavi aje akupe mwongozo.
 
Last edited by a moderator:
Dear fellow Members of JamiiForum, I'm taking this particular opportunity to say HODI HODI JAMVINI for the first occasion. Thank you all. Thank very much. Let us keep in touch.

Karibu sana.
 
Sheria kuu tuliyonayo humu ndani ni kuw usimtendee mtu usichotaka wewe utendewe.Hapo utaishi kwa amani.Get in!!
 
Habari za muda huu mabibi na mabwana,natumai wote ni wazima tena wenye afya tele,
Napenda kuchukua nafasi kumpongeza Mwanzilishi/Waanzilishi, ma cordinador na wana jamvini wote kwa jukwaa hl kuliendeleza na kulifanya liwe chachu kwa serikali, viongoz na wanajamvini kujifunza na kujrekebisha kwa namna moja ama nyingine.
NDUGU WANA JAMVINI NAOMBEN MNIPOKEE KAMA KIJANA WENU MWENYE LENGO LA KUJIFUNZA NA KUELIMISHA Wengne kwa namna moja ama nyngne.

Asanten sana Great thinker ,naomben mnikaribishe kwa kunipa
>muongozo
>sheria na
>utaratibu maana kla nyumba ina sheria zake ilizojiwekea!

karibu sana Wakala jamvini.....soma sheria na kanuni za JF hapa.......JamiiForums Disclaimer and Rules
 
Last edited by a moderator:
Dear fellow Members of JamiiForum, I'm taking this particular opportunity to say HODI HODI JAMVINI for the first occasion. Thank you all. Thank very much. Let us keep in touch.

you are warmly welcome.
 
Back
Top Bottom