Hodi hodi JF.

Hodi hodi JF.

Omugasi

Member
Joined
May 29, 2009
Posts
37
Reaction score
0
Nimekuwa nikisoma jamiiforums kwa muda mfupi sasa na kugundua kuwa nimejifunza mengi kwa kipindi hiki kifupi. Kwa misingi hii nimeonelea ni vyema nikajiunga rasmi na Jamvi hili baada ya kuwa refered na memba mmoja hapa.

Nashukuru nitajifunza mengi na kubadilishana mawazo tofauti huku tukiendelea kuheshimu utu wa mtu.
 
Karibu mkuu. Jisikie huru humu ndani ya great thinkers.
 
Karibu ndani ya JF. Omugasi, jisikie uko nyumbani. Where We Dare To Talk Openly.
 
ngoja niku shule " tasibota/tarairota. Nyegera waitu. tulio. akasinge.
 
Karibu ndani ya JF. Omugasi, jisikie uko nyumbani. Where We Dare To Talk Openly.

Tha Farmer,
Omugasi hachelewi kukaa mezani. Maana nyumbani kwake hufanya hivyo na wewe si umemwambia jisikie uko......

Natania
 
Back
Top Bottom