Jamani hodi wakongwe!!!
Sio mgeni saana lkn rasmi nmejisajili na kuwa mdauuuu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamani hodi wakongwe!!!
Sio mgeni saana lkn rasmi nmejisajili na kuwa mdauuuu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Karibu JFHodi jamii forum naitwa Ighombe(jina la jukwaani.Nimejiunga na JF miezi kadhaa sasa nilikuwa nachangia mdogo mdogo lakini nimeona leo nijitambulishe rasmi .
Kwa umri ni mtu wa makamo (age 45). UJUMBE TUWE NA NIDHAMU TUDUMISHE HADHI YA JUKWAA LETU.Ahsanteni.