Hodi hodi JF

Hodi hodi JF

Kalu20

Senior Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
191
Reaction score
99
Jamani hodi wakongwe!!!
Sio mgeni saana lkn rasmi nmejisajili na kuwa mdauuuu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asanteniii saaana wadau!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hodi jamii forum naitwa Ighombe(jina la jukwaani.Nimejiunga na JF miezi kadhaa sasa nilikuwa nachangia mdogo mdogo lakini nimeona leo nijitambulishe rasmi .
Kwa umri ni mtu wa makamo (age 45). UJUMBE TUWE NA NIDHAMU TUDUMISHE HADHI YA JUKWAA LETU.Ahsanteni.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu.......................
 
Hodi jamii forum naitwa Ighombe(jina la jukwaani.Nimejiunga na JF miezi kadhaa sasa nilikuwa nachangia mdogo mdogo lakini nimeona leo nijitambulishe rasmi .
Kwa umri ni mtu wa makamo (age 45). UJUMBE TUWE NA NIDHAMU TUDUMISHE HADHI YA JUKWAA LETU.Ahsanteni.
Karibu JF
 
Back
Top Bottom