Warioba E. W
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 163
- 64
Karibu sana Mkuu hata mimi natamani sana kumuona Ritz akija na jina lake halisi.Naomba Ritz naye aje humu kwa jina lake halisi kwani miongoni mwa ban nilizopigwa zimesababishwa nayeye.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ID iliyo na jina langu la bandia katika jukwaa hili.
Sasa naona umuhimu wa kutumia majina yangu halisi, hii itapelekea kufahamiana, kuibua na kujenga hoja mahususi bila kutumia lugha chafu.
Naomba Ritz naye aje humu kwa jina lake halisi kwani miongoni mwa ban nilizopigwa zimesababishwa na yeye. Watu kama Nnauye Jr, Le Mutuz aka zee la totoz, Zitto na wato wanaotumia Id za ukweli nawapa heko kwa changamoto wanazozikabili personally.

tupe id yako ya zamani tukujue vema unajificha nini
Kwa hiyo wewe ni mmiliki wa id mbili?
Id yangu ya zamani sitaki hata kuikumbuka, imenikosanisha na watu wengi, imeniletea maadui. Nasita kuiweka hapa wasije nitoa roho mafisadi.
Hili jina la Warioba E.W! nina mashaka nalo!