Warioba E. W
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 163
- 64
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ID iliyo na jina langu la bandia katika jukwaa hili.
Sasa naona umuhimu wa kutumia majina yangu halisi, hii itapelekea kufahamiana, kuibua na kujenga hoja mahususi bila kutumia lugha chafu.
Naomba Ritz naye aje humu kwa jina lake halisi kwani miongoni mwa ban nilizopigwa zimesababishwa na yeye. Watu kama Nnauye Jr, Le Mutuz aka zee la totoz, Zitto na wote wanaotumia Id za ukweli nawapa heko kwa changamoto wanazozikabili personally.